Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa kauli ya kushangaza akimhusisha Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, na kuanzisha mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi. Akizungumza na waandishi wa habari katika Ikulu ya White House, Trump alisema kuwa kiongozi huyo wa...










